TZ MP3 MEDIA

Nyimbo Mpya | Download Audio na Video Mpya za Bongo 2022

Nyimbo mpya

Download nyimbo Mpya kabisa za Tanzania ,ikiwa ni pamoja na nyimbo zote za Bongoflava zilizotoka hivi karibuni na za Kitambo kidogo za wasanii Maarufu kama vile Diamond Platnumz 2022, Ngoma za Alikiba, Vannesa Mdee pamoja na ngoma zote mpya za Bongoflava kutoka kwa wasanii wengine wa Mziki wa Bongo kama vile Rayvanny, Nandy , Ruby ,Harmonize,Zuchu na Wengine kibao.

Pia utaweza kujipatia ngoma mpya za Mziki wa Singeli kutoka Tanzania ,Nyimbo mpya za Singeli Audio Mp3 na Video za nyimbo za Singeli kutoka kwa Wasanii wa Mziki wa Singeli za Wasanii kama Vile Man fongo, Dulla Makabila, Sholo Mwamba na wasanii wengine kibao wa nyimbo za Singeli kutoka Tanzania kama vile S Kide , Mack Zube na wengine pia.

we Vilevile utaweza kudownload nyimbo za Mziki wa Gospel kutoka Tanzania, Nyimbo zote za Injili,Nyimbo za Kuabudu, Kwaya mbalimbali za Kikristo kutoka Bongo, Jipatie Nyimbo Mpya za Gospel kutoka kwa Waimbaji wa nyimbo za Injili kama vile Rose Mhando, Abiud Mishori,Jennifer Mgendi pamoja na Injili mpya za Audio na Video za Gospel toka kwa wasanii/waimbaji wengine wa nyimbo za kikristo kama Bonny Mwaitege , Martha Mwaipaja na wengine wengi.

Download na usikilize Taarab mpya za bongo, Nyimbo mpya za Mziki wa Mwambao za Audio mp3 na Video za Taarab kutoka Tanzania za waimbaji maarufu kama vile Khadija Kopa , Isha Mashauzi na wengine pia. Burudika na nyimbo za Taarab video toka kwa Jahazi Modern Taarab , Dar modern Taarab,Taarab zote za Mzee Yusufu na zingine Kibao.

Bila Kusahau nyimbo za Kiislamu, Nyimbo za Qaswida mpya za harusi na nyimbo za Qaswida za sherehe, Utapata Qaswida za maombolezo pia , kutoka kwa waimbaji maarufu wa nyimbo za Qaswida kama vile Arafa , Rummy na Kaswida za Madrasatul Siraj tul Munira na zingine zote za Audio pamoja na Video.