TZ MP3 MEDIA
Karibu katika ukurasa wetu ambapo utaweza kudownload nyimbo zote mpya  na ufurahie siku yako kwa  Single za mziki wa  Singeli ikiwa ni pamoja na Singeli mpya Audio na Video mpya na za Zamani kutoka kwa Wasanii uwapendao na Maarufu wa Nyimbo za Singeli kama vile nyimbo za Dulla Makabila 2022, Sholo Mwamba singeli mpya, S Kide, Msaga Sumu singeli na nyimbo kutoka kwa wasanii wengine wa Singeli toka Tanzania kama Mzee wa Bwax, Mack Zube , Cadabra na wengine kibao.

Sisi, tunaungalia mziki wa Singeli kwa jicho la karibu sana kwa jinsi ambavyo mziki huu unakua kwa haraka na kusambaa na kwa jinsi ambavyo fursa kwa wasanii chipukizi inavyoongezeka.

Tunaamini kuwa mziki huu utakuwa na mafanikio yenye kuleta tija kutokana na upatikanaji wa vyombo vya kisasa pamoja na huduma za urekodiji wa mziki unavyokua sasa, vitachangia kukomaza tasnia ya mziki wa Singeli ambao kwa sasa umeshaanza kupenya katika mipaka ya nchi.

Kwa hiyo kama wewe ni mpenzi wa mziki huu na ulikuwa ukitafuta nyimbo hizo za Singeli, basi umefika.

Hapa utapata nyimbo zote mpya za Singeli na Usisahau kutembelea mara kwa mara ili uweze kupata nyimbo mpya kabisa za Singeli 2022.