Tunajua ungependa kutangaza nyimbo za mziki wako Tanzania na Dunia kwa ujumla na kuweza kuwafikia maelfu ya watu.

TUNAFANYAJE ILI UNUFAIKE

1: Wimbo wako utawekwa kwenye ukurasa wetu Wa Mbele kabisa.

2: Tutapost wimbo wako kwenye kurasa zetu za

LinkedIn
Twitter
Facebook
Vkontakte
Blogarama
Redit


3: Wimbo wako utaanza kuonekana kwenye Google Seaech Siku hiyo hiyo.
na faida zingine kibao...!
Usione Soo..! Anza nasi leo ,Mdogo mdogo

HATUA ZA KUFUATA

1: Tuma Tsh 6,000 kwa njia ya M-PESA kwenda namba:
0765190137.
[Subiri Maslam] Au Airtel Money kwenye mamba 0782849615 (Subiri Maslam)

2: Tuma Namba ya utambulisho wa Muamala wako wa M-PESA au Airtel Money (Mfano wa namba hizi nyekundu: 5B4415HBGEK Imethibitisha.... )
Ukiambatanisha na taarifa zifuatazo:-

(i) Jina lako la usanii
(ii)Jina la Wimbo wako
(iii) Picha ya Cover (Art work)
(iv) Wimbo wenyewe (mp3) au link ya kudownload wimbo huo,(kwa mfano
https://tzmp3.co.tz/bongoflava/nakupenda.mp3

Tuma kwenda: Whatsapp namba 0782849615 kwa haraka zaidi.


TUNAKUTAKIA MWANZO WENYE MAFANIKIO


By TZ MP3 MEDIA