TZ MP3 MEDIA

Music Promotion

CATEGORIES


     
Tunajua ungependa kutangaza nyimbo za mziki wako Tanzania na Dunia kwa ujumla na kuweza kuwafikia maelfu ya watu na pengine kupata wadhamini (Sponsors). Basi tuletee halafu Ni hivi:-
1: Wimbo wako utawekwa kwenye ukurasa wetu Wa Mbele kabisa.
2: Tutapost wimbo wako kwenye kurasa zetu za LinkedIn, Twitter,Facebook,Vkontakte, Blogarama, Redit
3: Wimbo wako utaanza kuonekana kwenye Google Seaech Siku hiyo hiyo pamoja na faida zingine kibao…!

ANDAA VITU VIFUATAVYO
(i) Jina lako la usanii
(ii)Jina la Wimbo wako
(iii) Picha ya Cover (Art work)
(iv) Wimbo wenyewe (mp3) au mp4
(v) Unatakiwa kujisajili Kwanza kwenye Form hii hapa

Kisha tuma vitu vya Hapo Juu kupitia FORM HII HAPA

Note: Wimbo wako utawekwa tu kama utakuwa na ubora kwa kiasi fulani, Kwani huduma hii ni ya Bure.
TUNAKUTAKIA MWANZO WENYE MAFANIKIO